slide show

Wednesday, April 24, 2013

MSOME MWANA HIPHOP PEKEE TOKEA GREEN CITY ALIYEFANYA KOLABO NA CASSIDY PIA JADAKISS


Jina lake Kamili:Azma Mponda
Jina la Kisanii:Azma


Tarehe ya Kuzaliwa;03 march
Kuanza muziki rasmi;1999
Nyumbani; Mbeya , Mbozi
Record Label; Tamaduni Muzik 
Anakoishi kwa sasa: Mbeya na Dar es Salaam
Shule; IFM na Pandahili Sec School
Style anayotumia;Hiphop
Kipaji kingine;Voleball
Kazi nyingine;Mjasirialia Mali
Uhusiano kimapenzi; Hajaoa

 Nyimbo zilizo  mtangaza sana Azma ni Kama My Name is Hiphop aliyoifanya 
mwaka 2009 ktk studio iitwayo Rama Records chini ya prodyuza Kita,
pia Kipimo cha penzi aliyoitengeneza 2012 chini ya Prodyuza kita Pia,
ambapo mwaka huu ameibuka na nyimbo iitwayo My girlfriend is my best friend
Idadi ya album; Moja iitwayo Love Stories
Familia;Wa Kwanza katika familia ya watoto wane
Kwa upande wa Tanzania 
Wasanii wanaomvutia ni kama Professor Jay, 


Azma kulia akiwa na The Heavy weight Mc Prof Jizee 

                                                
 pia Azma huzimia vocal yenye punch ya mtu mzima Joseph Mbilinyi


                     Nje ya Tanzania Azma huvutiwa na Cassidy pia Jadakiss                       

Cassidy  

Ma Prodyuza wa ndani Tanzania wanaomvutia Azma ni kama Kita
Na Ray Tenko wa Tamaduni Muzik,

 

 Azma akiwa na mwimbaji pia prodyuza Kita, wa Tamadun Muzik
Kwa upande wa nje ya Tanzania Azma Huvutiwa na Dr Dre na SwizBeats

Pia Azma kwa kuunganishwa na prodyuza wa Chofaco Records ya 
Marekani aitwae Chobaray Ray ameshafanya kolabo na
nguli wawili anaowahusudu ambao ni Cassidy na Jadakiss ikumbukwe kuwa
Choba Ray ndie
 prodyuza wa nyimbo iitwayo Danger ya Farid Kubanda kazi hizo bado zinendelea
kupikwa kunako Chofaco Records muda si mrefu zitachiwa kwa hewa


Choba Ray Ktk Pozi 

Alipoulizwa ni kwanini wasanii wengi hasa wa Mbeya hukimbilia Dar es salaam alijibu
Kuwa Dar kuna nafasi kubwa ya kusikika na kujulikana kuliko mikoani 
Mwisho Azma Mponda aliwasihi wapenzi wa Hiphopwaendee kutoa sapoti kwa 
wanamuziki wa hiphop pia wa staili nyinginezo hapa Tanzania kwa Muziki umeshakua ajira
kwa sasa
,

1 comment:

  1. NEXT STAGE OF MOVEMENT
    IPO NJEMA SANA MASIKIO YETU YANASUBILIA HIZO KAZI,BIG UP 4 DAT

    ReplyDelete

comments

***