slide show

Tuesday, January 22, 2013

MTAMBUE GAUDENCE XAVERY MWAIKIMBA



Gaudence Exavery Mwaikimba


WASIFU WAKE:
JINA: Gaudence Exavery Mwaikimba
KUZALIWA: Oktoba 5, 1984
ALIPOZALIWA: Kyela, Mbeya
KLABU YAKE: Azam FC
 Nafasi uwanjani; Forward
Urefu; 189 cm
Uzito; 85 kg


KLABU ZA AWALI:
Mwaka               Klabu 
2003-2004:        Tukuyu Stars
2004- 2005:       Kahama United
2005- 2006:       Ashanti United
2006- 2009:       Yanga SC
2009-2010:        Sur (Oman)
2010:                   Prisons FC
2011- 2012:       Kagera Sugar
2012:                   Moro United
2012 hadi sasa   Azam FC 

Baadhi ya Picha Zikimuonyesha Gaudence Mwaikimba akiwa na
 timu mbalimbali alizowahi kuzitumikia katika vipindi
tofauti tangia mwaka 2003 alikuwa Tukuyu Stars ya Mbeya...



Player

2007
until:2008/09


2009/10

Prison Fc (Tanzania)


Azam fc

2010/11
Kagera Sugar
Tanzania

2011/12
Moro Utd
Moro Utd
Tanzania

2012/13


 Ambayo ndio timu anayoichezea hadi hivi sasa 
pia Gaudence Mwaikimba ameshawahi Chezea Timu ya TAIFA , KILIMANJARO STARS PIA TAIFA STARS




Hapa akiwa na Kikosi cha Taifa starz

Hapa Gaudence Mwaikimba akifanya vitu vyake  






Pia katika Timu ya Taifa Gaudence Mwaikimba amefanikiwa kufunga magoli matatu katika michezo 11,,
Hapa Gaudence Mwaikimba akisalimiana na Mheshimiwa Raisi J.k Mrisho Kikwete
 Uwanja wa Taifa (Benjamini W. Mkapa National Stadium)














No comments:

Post a Comment

comments

***