slide show

Thursday, April 25, 2013

THIS IS HOW IT IS SUPPOSED TO BE DONE LISTEN TO THE NEW GREEN CITY SONGS



 Baada ya ku sumbua na nyimbo ya Nigande Msanii Doctor Fazi or
The Green City V.i.P, 
Kaja na new heat iitwayo
USIJISAHAU akimshirikisha Miss Silvia pamoja na Raymond The Free style Master 
wa Tiptop connection chini ya Producer Ahaz wa G2G Records
hii nyimbo ni moja muendelezo wa kazi mpya
 zilizotengenezwa Mbeya City, zilizoanza kutoka 
mwaka 2013 click n play uone haya mapinduzi,,
ni New Green City for sure


 click n play katika hii link hapa chini u prove huu ukweli

No comments:

Post a Comment

comments

***