slide show

Monday, April 22, 2013

''UFAHAMU WASIFU WA MKALI WA ZOUK KUTOKA GREEN CITY MARU''



Jina lake Kamili:Maru N Mwidete
Jina la Kisanii:Maru

Tarehe ya Kuzaliwa;17 january
Kuanza muziki rasmi;2007
Nyumbani; Mbeya , Maanga
Record Label; Kiri Records
Studio ya kwanza;Bigtime producton
Anakoishi kwa sasa: Mbeya na Dar es Salaam
Shule;U.C.C University na Southern Highland Secondary
Style anayotumia;Zouk
Kipaji kingine;Uigizaji
Kazi nyingine;Biashara mjasiria Mali
Uhusiano kimapenzi; Hajaoa
Kabila;Mbena
Idadi ya album; Moja
 Dully sykes ndie mwanamuziki anayemvutia zaidi hapa Tanzania Maru 


Mtoto wa Kariakoo Dully Sykes ktk pozi
Kwa upande wa Nje ya Nchi Maru huvutiwa na mkali wa ku dance Usher Raymond


Kwa nini unafanya muziki Dar na si Mbeya ;Mimi kama Maru ninaamini kuwa Dar
 ndiko kuna Kitovu cha muziki hapa Tanzania, pia Dar kuna u serious mkubwa wa 
muziki industry ukilinganisha na Mbeya na la mwisho Dar ndiko soko la muziki linakoanzia,



 Mwisho Maru anawaomba watanzania waendelee kutoa support ktk kazi zake za
kimuziki pia akawasihi wakazi wa Green City kuthamini kwanza kazi za 
wasanii wa Mbeya City wale waliopo ndani ya Mbeya pia nje ya Mbeya,
kwa sababu mabadiliko ya Mbeya city kiburudani hayataweza kuletwa na
wageni au walio nje ya Mbeya ila wazalendo wa Mbeya ndio watakao ibadilisha
 Mbeya City

No comments:

Post a Comment

comments

***