1.
Jina
la Mbeya limetokana na neno la kisafwa "Ibheya"
ambayo
maana yake ni chumvi kwani miaka mingi
wafanyabiashara
walikuwa wanafika mahali hapo
kubadilishana
mazao yao kwa chumvi.
Mji
wa kisasa wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni
Waingereza
mnamo mwaka 1927. Wakati ule dhahabu
ilianza
kupatikana katika mlimani karibu na Mbeya hadi Chunya,
| |
|
| Ramani ya Tanzania ikilionyesha Jiji la Mbeya upande wa kusini mwa Nchi, ikumbukwe kuwa jina la utani la Mbeya City huitwa Green City au Jiji la Kijani, yote ni kwasababu ya Mazingira mazuri ya Kijani yaliyopo Jijini Mbeya |
| |
|
| hapa chini ni kipande cha Ramani kikiuonyesha mkoa wa Mbeya pamoja na wilaya zake kadhaa, |
|
|
Ramani ya Mbeya
2.
Hapo mwanzo
eneo la Mbeya liliitwa Scotland ya Afrika,
sababu kuu
ikiwa ni wingi wa Miinuko (Milima) Pia hali
ya hewa ya
Mbeya iliyotawaliwa na Misitu ya kijani, Ifananayo
na ile
iliyopo Magharibi mwa Africa Kusini, ambayo pia hufanana
na milima
ya nchi ya Ulaya iitwayo Scotland,
Picha ya moja kati ya milima ya Scotland, (Barani Ulaya) unaweza
kutizama ni namna gani kuna kufanana na Milima ya Mbeya City
3.
.
Mlima
Loleza uliojitokeza karibu na Mbeya Peak, ndio huonekana
kutokea
Mbali pale unapoingia Mbeya Mjini,
4.
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza
kabisa ndani ya
Tanzania ikiwa na sehemu za
Picha ya Ziwa Nyasa ambapo ndipo inapopatikana Beach Mno
iitwayo Matema Beach kama ionekanavyo pichani
5.
Uwanda wa juu wa
Uporoto, Uwanja wa Usangu ingawa
haukufikiwa bado na utalii.
Historia inavyoonekana katika jiografia ya Mbeya
Mji
ulianzishwa katika sehemu zinazoitwa bado Uhindini,
Uzunguni
na Majengo. Mji ulipangwa kufuatana na kawaida
ya
miji wa kikoloni ya Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu:
- Uzunguni ni sehemu ya nyumba za
Wazungu na karibu na
ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama)
- Uhindini ni mtaa wa biashara
uliokuwa hasa
mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya Uhindi na
6.
- Uwanja wa mpira wa miguu uitwao Sokoine,
- Majengo kama sehemu kwa
wafanyakazi Waafrika na familia zao.
-
Makanisa ya kale kama ishara ya historia
Mahali
pa makanisa ya kale panaonyesha ugawaji huu wa kihistoria:
- Kanisa Anglikana iliyokuwa
dhehebu rasmi la
Uingereza lipo chini ya Uzunguni na karibu na ofisi za
kiserikali (zinazoelekea siku hizi kuhamishwa kwenda
Foresti) kama Mkuu wa Mkoa na mahakama. Kanisa
hili ni jengo dogo kwa sababu lilipangwa kwa kundi
dogo la maafisa na wafanyabiashara pamoja na wakulima
Waingereza wa Mbeya.
- Kanisa la Moravian la mjini
ambalo ni dhehebu la
Kikristo asilia la Mbeya liko Majengo iliyokuwa sehemu
kwa Waafrika. Kati ya Waingereza hawakuwepo Wamoravian.
- Kanisa Kuu Katoliki lilihudumia
Wazungu wachache
Siku
hizi sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi
Makundi
makubwa mjini ni Wasafwa wenyeji na Wanyakyusa
waliohamia
hapa kutoka Rungwe.
Wanyakyusa ndio waliotangulia kuleta
Uluteri
mjini.
Kuna
pia msikiti
kubwa na hekalu la Wahindu.
7.
Bonde la Usangu
8.
Kimondo kilichoangukia Mbozi miaka mingi iliyopita
kina uzito wa Tani 12,
9.
Mbuga ya Kitulo
Mawasiliano
Mbeya
ni njiapanda ya njia mbalimbali muhimu: Barabara
kuu
ya lami kutoka Daressalaam (850 km) hugawanya
Vilevile
njia ya reli ya TAZARA
hupita Mbeya kuelekea Zambia.
Kuna
ghala kubwa kwa ajili ya mizigo ya Malawi inayofikishwa
kwa
reli kutoka Daresalaam bandarini ikihamishwa kwa malori
kwenda
Malawi hapa Mbeya.
10.
Stendi ya Treni ya Tazara,
11.
Mbeya
imekuwa na uwanja wa ndege mdogo usiokuwa na
huduma
ya kawaida kwa muda mrefu. Lakini kuna mipango
ya
kujenga uwanja mpya huko Songwe zipatao km 40 kufuata
njia
ya kwenda Zambia.
Uwanja wa Ndege Songwe
Wakazi
Mbeya
ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Idadi ya
wakazi
imekadiriwa kuwa wapatao 280.000 katika mw. 2005.
Wengine
mnamo 300.000 wanaishi katika mazingira karibu na
Mbeya
mjini.
Kiasili
Mbeya ilikuwa eneo la Wasafwa. Siku hizi sehemu kubwa
ya
wakazi wanaweza kuwa mchanganyiko wa Wasafwa pamoja na
Uchumi
Uchumi
wa Mbeya mjini umetegemea kilimo cha mazingira yake
na
biashara. Viwanda mbalimbali vilianzishwa lakini havikufaulu sana.
Kuna
viwanda kwa mfano Zana za Kilimo, Highland Soap, Mbeya Textiles.
Mbeya
Ceramics iliporomoka kitambo.
Tangu
miaka ya 1990 kitovu cha mji kinahamishwa kutoka eneo
la
zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.
13.
Picha 2 tofauti zikilionyesha Daraja la Mungu, ambalo
ni halijatengenezwa na binadamu liliumbwa hivyo vivyo
Elimu
Pamoja
na shule za sekondari kuna taasisi kadhaa za elimu ya juu kama vile:
na theolojia tangu mwaka 2005. Kilitanguliwa na chuo cha Motheco.
- Mbeya Technical College
- Chuo cha Kilimo Uyole
(Agricultural Research Institute -ARI- Uyole)
- ambacho ni taasisi ya uchunguzi
wa kisayansi pamoja na chuo
- 14
Picha ya mlima Rungwe mrefu kuliko yote Mbeya
Mlima
Rungwe ndio mlima mrefu kuliko yote mjini Mbeya,
una urefu
wa Takribani Mita 2960,
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Abbas Kandoro
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi,
Mungu ibariki Mbeya city/ Mungu Ibariki Tanzania