Jina la Kisanii: Enika
Tarehe ya Kuzaliwa;1982
Nyumbani; Mbeya Block T,
Record Label; G2
Meneja wake: Nasobile Gallen
Anakoishi kwa sasa: Dar es Salaam
Namba zake Kikazi ni: 0713640878
Nyimbo yake ya kwanza kumtoa iliitwa Baridi kama hii aliyoitoa 2004,
Aliyoifanya katika studio ya G2 Record iliyokua chini ya marehem Kaka yake Roy
Bukuku, nyimbo hii ilikua ktk mahadhi ya
Soul&Jazz/ pia vionjo vya R&B, Pia mwaka 2009 alifanikiwa kufanya
Collabo na Rapper Mkali wa Kenya aitwae Jua Kali, baada ya hapo pia alitoa
wimbo uitwae Changanya Changanya..
Enika ambaye pia huvutiwa na waimbaji kama Mfalme wa Pop Michael Jackson;
Mwanamuziki mwingine ambaye humvutia Enika ni Jonathan Butler,
Pia Enika huvutiwa na Uwezo wa Mwanamuziki wa Asili wa Tanzania aitwae Carola kinasha
Hapa Carola Kinasha akiperform nyimbo za Kitanzania
Pia ni Enika Ndugu wa Evans Bukuku muendeshaji wa Kipindi cha Vuvuzela Comedy kinachorushwa na Clouds TV
Nje ya uwezo mkubwa wa Kuimba Enika pia ni Mtunzi, Mwandishi, pia anauwezo
wa kuperform live kwa vyombo, na kipaji chake kilianza tangu alipokua na miaka
11, ambapo pamoja na kuwa na umri mdogo alikua kiongozi wa ktk kundi la muziki
la Shule alipokua A level ktk Shule ya MCF Kilimanjaro Academy, Baadae alifanikiwa kushiriki ktk
(music/theatre/dance) huko Uholanzi na Ubelgiji ambapo alishiriki ktk show
zaidi ya 186 Akishirikiana kwa ukaribu na Kaka yake mmiliki wa Kundi la
vichekesho Evans Bukuku’.
Namfagilia sana Enika! Sauti yake ina mvuto fulani. Ajitahidi kupata promotion
ReplyDeleteNampa shavu sana cstar angu enika sema natafuta sana wimbo wake wa "boga langu"0782637275
ReplyDeleteNampa shavu sana cstar angu enika sema natafuta sana wimbo wake wa "boga langu"0782637275
ReplyDeleteNampa shavu sana cstar angu enika sema natafuta sana wimbo wake wa "boga langu"0782637275 atansaidije coz kajaza knomanoma
ReplyDeleteNamkubali sana! Kuna wimbo aliwahi imba na Joh Makini, nimeutafuta sana , siiuoni.
ReplyDeleteMe namkubali Sana uyo dada pamoja na familia yao Kwa kushikana mikono iyo Ty BG UP na Enika anakipaji kikubwa ila nachanganyikiwa kwamba nikwanini anapotea kwenye game WhatsApp no yangu naomba nyimbo ya boga ya Enika
ReplyDelete0613124087 Nilisahau kuweka naomba
ReplyDelete